USAJILI WA FERNANDO LLORENTE WAPINGWA PARIS SAINT-GERMAIN

MKURUGENZI wa michezo wa PSG, Patrick Kluivart amekataa wazo la klabu hiyo la kumsajili staa wa Swansea, Fernando Llorente.


PSG wanasaka fowadi wa kumsaidia Edinson Cavani na kocha wao Unai Emery alimtaka Llorente, lakini usajili huo umepingwa vikali na Kluivart.

No comments