WINGA KINDA DEMANI GRAY WA LEICESTER CITY ANUKIA LIVERPOOL


IMEBAINIKA kuwa klabu ya Liverpool chini ya kocha Mjerumani, Jurgen Klopp imepanga kuwasajili mawinga wawili mmoja wao akiwa ni kinda wa Leicester City, Demani Gray mwenye miaka 20.

No comments