Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametaja orodha mpya ya watuhumiwa wa madawa ya kuleya ambapo ndani yake yumo mwenyeketi wa klabu ya Yanga, Yussuf Manji.

Akiongea na waandishi wa habari mchana huu, Makonda alimtaja pia mfanyabiashara na mdau wa muziki wa dansi Mwinyi Machapta.

Aidha, katika orodha hiyo mpya ya watu 65, yupo pia mbunge wa zamani wa Kinondoni Idd Azan ambaye ni mdau wa michezo na burudani, mwenyekiti wa Chadema na aliyekuwa mmiliki wa Club Bilicanas Freeman Mbowe.


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac