ALAN PARDEW ATAJWA KWENDA KULING’ENG’ENYA FUPA LILILOMSHINDA NEIL NORWICH

KOCHA Alan Pardew mwenye umri wa miaka 55, anatajwa ndie kocha mpya anayekuja wa klabu ya Norwich City, baada ya Alex Neil kufukuzwa Ijumaa.


Pardew anarithi mikoba hiyo kwa ajili ya kuimarisha timu hiyo ambayo imekuwa na matokeo mabaya zaidi katika siku za hivi karibuni.

No comments