ALEXANDRE LACAZETTE KUTUA LIVERPOOL MAJIRA YA KIANGAZI


IMEELEZWA kuwa Liverpool inaweza kuinasa saini ya mpachika mabao hatari wa Lyon, Alexandre Lacazette na dili hilo litafanyika wakati wa majira ya kiangazi.


Taarifa hiyo imetolewa na mchambuzi wa soka wa Ufaransa, Julien Laurens ambaye amesema kuna uwezekano mkubwa wa Mfaransa huyo kutua Anfield.

No comments