ANCELOTTI AKANUSHA KUMSARANDIA BEKI WA KULIA WA EVERTON

KOCHA wa mabingwa wa soka nchini Ujerumani Bayern Munich, Carlo Ancelotti amekanusha kuwa na mpango wa kumsajili mlinzi wa kulia wa Everton, Seamus Coleman.


Ancelotti alisema kuwa mlinzi huyo mwenye miaka 28 ni miongoni mwa wachezaji mahiri lakini hajawa na mpango wa kumuhitaji kwakuwa kikosi chake kimekamilika kila idara.

No comments