ANDRE SILVA "APINGANA" NA MAWAZO YA "PACHA WAKE" CRISTIANO RONALDO


WAKATI imeripotiwa kwamba Cristiano Ronaldo ameiomba klabu yake ya Real Madrid kumsajili mchezaji mwenzake katika timu ya taifa ya Ureno, Andre Silva, habari nyingine zinasema kwamnba mchezaji huyo anavutiwa zaidi na Liverpool.

No comments