ANTHONY MARTIAL AAPA KUENDELEA KUPIGANIA NAMBA KIKOSI CHA KWANZA MAN UNITED

MSHAMBULIAJI kinda wa Manchester United Anthony Martial ameapa kuendelea kupigania namba kwenye kikosi hicho cha Josse Morniho nakufuta uvumi wa kutaka kuondoka wakati wa majira ya joto.


Martial amesema kuwa anafurahia sapoti kubwa anayopata toka kwa washabiki na meneja wake hususani kipindi hiki ambapo analazimika kupigania namba.

No comments