ANTOINE GRIEZMAN AHOFIA MAZINGIRA YA ENGLAND ANAKOTAKIWA NA MANCHESTER UNITED

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa Ufaransa Antoine Griezmann amesema kwamba anafurahia zaidi kusikia anatakiwa na kocha wa Manchester United, Josse Mourinho lakini haoni kama uhamisho huo unaweza kukamilika mwishoni mwa msimu huu.


Griezman anaonyesha kufurahia zaidi maisha ya Hispania huku akihofia mazingira mapya nchini England ambako mvua ilinyesha kwa kipiundi kirefu zaidi.

No comments