ANTOINE GRIEZMANN KUVUTWA MANCHESTER UNITED KWA BILIONI 160 ZA KITANZANIA

MANCHESTER United imetenga pauni mil 80 ambazo ni zaidi ya sh. bil 160 za Kitanzania kumnasa mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann.


United wameamua kumpandia bei mpiga mabao huyo wa Kifaransa mwenye miaka 25, baada ya kubaini ushindani uliopo katika kuinasa saini yake.

No comments