ARISTIDE RUBEYA MENEJA WA MAPACHA WATATU AMWEKA HADHARANI MKE MTARAJIWA


Meneja wa Mapacha Music Band (zamani Mapacha Watatu) Aristide Rubeya, juzi alimvisha pete ya uchumba mkewe mtarajiwa.

Aristide aliyafanya hayo Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam ambapo akadhihirisha kuwa bibie Alice J Nalimi ndiye wa ubani wake.

Meneja huyo wa Mapacha Watatu ameiambia Saluti5 kuwa atafunga ndoa na Alice baadae mwaka huu.
Mikono ya Aristide Rubeya na mchumba wake Alice J Nalimi
 Aristide Rubeya (kulia) na Alice J Nalimi (katikati)
Mzee Rubeya katika picha ya pamoja na mwanae na mkwe mtarajiwa
Bwana harusi mtarajiwa Aristide Rubeya
Bibi harusi mtarajiwa Alice J Nalimi

No comments