ARSENAL WASARANDIA SAINI YA BEKI WA PEMBENI WA PSG

Arsenal wanavutiwa na kuwa mpango wa kuifuatilia saini ya beki wa pembeni wa PSG, Layvin Kurzawa, kwa mujibu wa chanzo kimoja cha habari kutoka Ufaransa.


Kama Arsenal watataka kumsajili Kurzawa ambaye alitua PSG akitokea Monaco, wanapaswa kuandaa kitita cha pauni mil 17.

No comments