ARSENAL YAHUSISHWA NA KOCHA WA BORUSSIA DORTMUND


Klabu ya Arsenal imehusiswa na mipango ya kumnyakua kocha wa Borussia Dortmund Thomas Tuchel ili awe mbadala wa Arsene Wenger.

Gazeti la Bild la nchini Ujerumani lilidai kuwa Arsenal imeongea na kocha huyo wa ligi ya  Bundesliga mwenye umri wa miaka 43.

Hata hivyo Arsenal imekanusha kuwa haijafanya maongezi ya aina yeyote na Thomas Tuchel.


No comments