ARSENAL YAMCHANGANYA KOCHA WA BOURNEMOUTH KWA KUMTAKA TENA WILSHERE

KOCHA wa Bournemouth, Eddie Howe amesema anachanganywa sana na uamuzi wa Arsenal kutaka kumrejesha kundini kiungo mshambuliaji, Jack Wilshere aliyeuzwa kwa mkopo wa mwaka mmoja katikati ya mwaka uliopita.

No comments