ARSENAL YAMTAKA ANTOINE GRIEZMANN KUZIBA PENGO LA SANCHEZ

MSHAMBULIAJI mahiri wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann anazidi kuvimba kichwa baada ya Arsenal nao kujitosa kuiwania saini yake ili kuziba pengo linaloachwa na Alexis Sanchez aliyepanga kuondoka kiangazi hiki.

No comments