ARSENE WENGER ACHOMOA DILI LA MIL 30 KUFUNDISHA SOKA CHINA

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amekataa dili la kulipwa paundi mil 30 kwa mwaka ili aende kufundisha soka nchini China.


Kocha huyo mwenye umri wa miaka 67, angekubali mpango huo inamaana angekuwa anaingiza mkwanja mrefu zaidi ikiwa ni mara mbili ya kocha wa sasa wa Manchestre City,Pep Guardiola.

No comments