ARSENE WENGER AVUNJA BENKI KUMSAJILI ALEXANDRE LACAZETTE

HABARI zinasema kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amejipinda kutoa donge la maana kwa mshambuliaji wa Lyon na timu ya taifa ya Ufaransa, Alexandre Lacazette.

Wenger ametoa ofa ya pauni mil 60 ili kumsajili mshambuliaji huyo mwenye miaka 25, anayewaniwa kuziba pengo la Alexis Sanchez aliye mbioni kuondoka Emirates.

No comments