ARSENE WENGER BADO YUPO YUPO SASA ARSENAL


Inadaiwa Arsene Wenger bado anataka kubaki Arsenal licha ya mashabiki wengi kuonyesha kumchoka kufuatia mwenendo mbaya wa klabu yake.

Kwa wiki kadhaa, Wenger amekuwa akihusishwa na kundoka Emirates Stadium, lakini inasemekana kocha huyo ameweka wazi dhamira yake ya kubaki Arsenal.
No comments