Mmoja wa wasanii wanaotingisha Dodoma kwa upande wa muziki wa dansi ni Hussein Yamodo ambaye hajawahi kuharibu katika kila ngoma anayoitoa.

Safari hii Yamodo, mwimbaji mwenye sauti tamu ameshuka na kitu kipya kinakwenda kwa jina la “Together”.  Unaweza kuisikiliza na kuipakua hapo juu.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac