BADO TUNAKUKUMBUKA SANA MAMA YETU MZAZI ...Inna Lilahi wa Inna Ilaihi Rajiun


Leo ni miaka mitatu! Tarehe kama ya leo (March 31, 2014) tulimpoteza ghafla mama yetu kipenzi Bi Desta Mohamed.

Mazishi yakafanyika Mbezi jijini Dar es Salaam tarehe 1/4/2014.


Inna Lilahi wa Inna Ilaihi Rajiun

No comments