BAKAYOKO ALIYEITOLEA NJE ARSENAL MWAKA JANA AKUBALI KUTUA CHELSEA

KIUNGO wa Monaco, Tiemoue Bakayoko, 22, alikutana na meneja wa Arsenal, Arsene Wenger katika hotel jijini Paris mwaka jana, lakini alikataa kuhamia kwa washika bunduki hao. 

Badala yake nyota huyo sasa anadaiwa kubadilisha upepo baada ya tetesi juu yake kuanikwa kuwa hivi sasa amekubali kujiunga na Chelsea.

No comments