Habari

BARCELONA KUTESTI ZARI TENA KWA OUSMANE DEMBELE WA BORUSSIA DORTMUND

on

BARCELONA wamepanga kufanikisha usajili wa nyota wa Borussia Dortmund,Ousmane Dembele.

Mabingwa hao wa La Liga walijaribu dili hilo wakati wa usajili wa majira ya kiangazi yaliyopita
lakini waliangukia pua.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *