Habari

BAYERN MUNICH WAMTAKA SANCHEZ AKAWASAIDIE KUWAKOMESHA REAL MADRID, FC BARCELONA

on

BAYERN
Munich wanamtaka Alexis Sanchez kuwasaidia kukabiliana na Real Madrid na Barcelona
kwa ajili ya kutawala Ulaya.
Mshambuliaji
huyo wa kimataifa wa Chile atakuwa nje ya mkataba mwishoni mwa msimu ujao na
mazungumzo juu ya kuendelea kubakia yamesitishwa kwanza.
Mazungumzo yataanza
tena mwishoni mwa msimu, lakini Arsenal inaweza kuamua kupata fedha taslim
kiasi cha pauni mil 35 ikiwa atakataa kubakia.
Bayern Munich
wako mstari wa kwenye foleni kumsaini Sanchez.
Wanasema Carlo
Ancelotti yupo kwa ajili ya mkuangalia vipaji vya juu ili kuisaidia klabu hiyo
ya Ujerumani kudumisha utawala wao wa ndani.
Pia anataka
sura safi juu zitakazokuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto ya Ligi ya Mabingwa
Ulaya.
Bayern imekuwa
ikitinga nusu fainali za Ulaya kila mwaka katika kipoindi cha miaka mitano,
lakini ilishinda ubingwa mara moja tu dhidi ya Borussia Dortmund mwaka 2013.
Kusainiwa kwa
Sanchez kunaweza kuisaidia klabu hiyo ya Ujerumani kwa miamba ya Hispania kama
Real Madrid na Barcelona kwenye undava wa hali ya juu barani humo.

Nyota wa
Real, James Rodriguez ni mbadala kwa Sanchez ikiwa mpango hautaweza kukamilika
na Arsenal.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *