BAYERN MUNICH YATUMA OFA TOTTEN HAM KWA AJILI YA "KUMCHUMBIA" DELE ALLI

MABINGWA wa soka nchini Ujerumani, klabu ya Bayern Munich imekuwa ya kwanza kutuma ofa ya kumtaka kiungo mshambuliaji chipukizi wa Tottenham, Dele Alli.


Kinda huyo mwenye miaka 20, amekuwa mpishi mkuu wa mabao ya Tottenham na pia amekuwa mmoja wa wafungaji wanaoongoza msimu huu.

No comments