BORUSSIA DORTMUND WABISHA HODI MANCHESTER CITY KUMWANIA RAHEEM STERLING

MOJA ya vigogo vya Bundesliga, Borussia Dortmund wameonyesha nia ya kupiga tena hodi katika klabu ya Manchester City kwa ajili ya kumwania Raheem Sterling bila kujali kama ameongeza mkataba mpya ama la.


Sterling aliingia katika mpango wa kutua Bayern katika usajili wa dirisha dogo la mwezi Januari, mwaka huu na mkakati huo bado unawekwa mezani kwa ajili ya usajili wa kiangazi.

No comments