CHELSEA HAIKAMATIKI LIGI KUU YA ENGLAND ...Hazard na Costa moto chini


Ni wazi kuwa Chelsea sasa haikamatiki, iko kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England kwa pointi 10 safi baada ya kuinyuka West Ham 2-1.

Eden Hazard na Diego Costa ndiyo waliopeleka ushindi Chelsea kwa mabao yao ya dakika ya 25 na 50 huku bao la kufutia machozi la West Ham likiwekwa wavuni na Manuel Lanzini  kunako dakika ya 92.

West Ham (4-1-4-1): Randolph 6; Kouyate 5, Reid 6 (Byram 64, 5), Fonte 6, Cresswell 5.5: Obiang 5, Noble 5; Feghouli 5 (Ayew 64, 5), Lanzini 5, Snodgrass 5.5; Carroll 5
Unused subs: Adrian, Collins, Fernandes, Masuaku, Calleri

Chelsea (3-4-3): Courtois 6; Azpilicueta 6, Luiz 6.5, Cahill 6; Moses 6 (Zouma 76), Kante 7, Fabregas 7, Alonso 6.5; Pedro 7 (Matic 65), Costa 6, Hazard 8 (Willian 75)


No comments