CHELSEA, LIVER, MAN CITY, ARSENAL ZAMSARANDIA KWA KASI MOUSSA DEMBELE

KLABU za Chelsea, Liverpool, Manchester City na Arsenal zinatuma maskauni wao kwa ajili ya kumuangalia mshambuliaji wa Celtic, Moussa Dembele mwenye umri wa miaka 20.


Kinda huyo amekuwa akitajwa kwamba ni mmoja wa wachezaji vijana wenye vipaji vya hali ya juu hivyo klabu hizo zinapigana vikumbo kuwania saini yake.

No comments