CHELSEA ROHO NYEUPEE KUMRUHUSU EDEN HAZARD KUTUA REAL MADRID

VINARA wa Ligi Kuu ya England, Chelsea wako radhi kumruhusu kiungo Eden Hazard, 26, kujiunga na Real Madrid majira haya ya joto.

No comments