CONTE AWAPIGIA HESABU BERNARDO SILVA NA BENJAMIN MENDY KUIIMARISHA ZAIDI CHELSEA

LICHA ya kufanya vizuri kwenye Ligi, kocha Antonio Conte anataka kukiimarisha zaidi kikosi chake kwa kuwachukua Bernardo Silva na Benjamin Mendy wanaochezea Monaco.


Kiasi kilichotengwa na Brues katika mpango huo kuwa ni Pauni Milioni 40.

No comments