DAVID BECCKHAM AMPA JACK WILSHERE USHAURI WA BURE... amtaka akubali kujiunga na AC Milan mwishoni mwa msimu

DAVID Beckham, winga aliyewika kwenye timu ya taifa ya England, amemtaka kiungo Jack Wilshere kukubali ofa ya kujiunga na klabu ya AC Milan mwishoni mwa msimu huu baada ya mambo kumuendea kombo kwenye Ligi Kuu ya England.

No comments