YULE msanii mahiri kutoka kundi linalotikisa kwa sasa katika muziki wa dansi la kizazi kipya, Yamoto Band, lililo chini ya Mkubwa na wanawe, Aslay Isihaka “Dogo Aslay” anakuja na kitu kipya.

Dogo Aslay ameachia wimbo mpya uitwao “Tete” ambao hajasema kama utakuwa kwenye kazi zake binafsi ama ni moja ya nyimbo mpya za kundi hilo.


Aslay alianza kutikisa anga la muziki wa kizazi kipya mara tu alipoachia kibao kiitwacho “Nakusemea”, kilichompandisha chati na kumfanya atambulike vilivyo katika muziki huo.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac