EMRE CAN AITAKA LIVERPOOL IMUONGEZEE MARA MBILI YA MSHAHARA WAKEKIUNGO wa Liverpool, Emre Can mwenye umri wa miaka 23, anataka kuongezewa mara mbili zaidi ya mshahara wake wa sasa kabla ya kusaini mkataba mpya.


Kiungo huyo raia wa Ujerumani kwa sasa amebakiza miezi 18 kuweza kumaliza mkataba wake wa sasa hapo Anfield.

No comments