EVERTON WAMSHUSHIA LAWAMA MAMA MZAZI WA LUKAKU WAKIDAI ANAMSHAWISHI MWANAWE ASEPE

Evarton wamemshushia lawama mama mzazi wa Romelu Lukaku wakidai ndiye anayetaka mwanawe aondoke klabuni hapo.


Lukaku alikaribia kusaini mkataba mpya wa Evarton lakini ghafla alibadili uamuzi wake.

No comments