EVERTON YAANZA KUPIGA HESABU ZA MAISHA BILA ROMELU LUKAKU

EVERTON wanamwangalia mshambuliaji mwenye umri wa miaka 21 wa Orlando City, Cyle Larin, huku wakitafuta uwezekano wa mbadala wa mshambuliaji mwenye umri wa miaka 23, Romelu Lukaku ambaye amekataa kutia saini mkataba mpya.

No comments