FC BARCELONA YAONGEZA KASI KUMNG'OA MESUT OZIL ARSENAL

KLABU ya FC Barcelona inaonekana kuongeza kasi kuipata saini ya nyota wa washika mitutu wa jiji la London, Mesut Ozil.

No comments