FRANK RIBERY AKANUSHA TETESI ZA KUTAKA KUONDOKA BUNDESLIGA

KIONGO wa Bayern Munich, Franck Ribery raia wa Ufaransa amekanusha vikali juu ya uvumi wa kutaka kuondoka kwenye ligi ya Bridesliga wakati wa majira ya joto msimu ujao.


Rabery ambaye ameshinda jumla ya mataji 18 tangu atue kwenye klabu hiyo amesisitiza kwamba alikataa ofa nyingi kubwa kabla ya kufanya maamuzi ya kujiunga mihamba hiyo ya Ujerumani.

No comments