GUUS HIDDINK ANUKIA KUZIBA PENGO LA KOCHA RANIERI LEICESTER CITY

KOCHA wa zamani wa Chelsea, Guus Hiddink ndiye anayeonekana kuwa na nafasi kubwa ya kupewa kibarua cha kuinoa Leicester City.


Hiddink anahitajika ili kuziba pengo la Claudio Ranieri aliyetimuliwa.

No comments