HARMONIZE AWAPAKULIA MASHABIKI WA BONGOFLEVA KITU CHA "ACHA NILEWE"

MSANII anayekuja juu kwa kasi hivi sasa katika medani ya muziki wa bongofleva, “Harmonize” ameachia kitu kipya kinachokwenda kwa jina la “Acha Nilewe”.


Harmonize aliye kwenye lebo ya Wasafi, ni mmoja wa wasanii ambao kazi zao kwa sasa zinabamba vilivyo na wimbo huu unaonekana utampaisha.

No comments