JOSE MOURINHO AWAPASHA CHELSEA “MIMI BADO NI NUMBER ONE”


KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amewaambia mashabiki wa Chelsea kuwa bado yeye ni “number one” baada ya kuzomewa wakati wa mechi ambayo mabingwa hao watetezi wa Kombe la FA walilazwa 1-0 uwanja wa Stanfrod Bridge Jumatatu.

No comments