Habari

JURGEN KLOP KUIFUMUA LIVERPOOL USAJILI UJAO

on

Jurgen Klopp amedhamiria kukifumua kikosi cha Liverpool katika usajili ujao, hii ni kutokana na timu hiyo kuwa na mwendo usiotabirika.

Liverpool imeangukia pua kwa kufungwa mara tano katika michezo yake saba ya mwisho na sasa inaingia kwenye vita kali ya kuhakikisha inaambulia angalau tiketi ya Champions League.

Moja ya vitu vinavyomkera kocha huyo wa Liverpool ni kutokuwa na wachezaji mbadala pale wanapokosekana nyota wake wakiwemo Jordan Henderson na Daniel Sturridge ambao kwasasa ni majeruhi.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *