JUVENTUS, CHELSEA ZAPIGANA VIKUMBO KUWANIA SAINI YA LEONARDO BONUCCI

Miamba ya soka la Italia, Juventus imetoa ofa ya paundi mil 42 kwa ajili ya kumnasa beki wa Italia, Leonardo Bonucci, ambaye pia  anawindwa na Chelsea ya Ligi Kuu England.

Bonucci mwenye umri wa miaka 29, amekuwa na msimu mzuri zaidi katika nafasi yake ya beki na timu hizo zinamtolea macho kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao msimu ujao. 

No comments