JUVENTUS YAZIKATA MAINI ARSENAL NA MAN CITY KWA KUMWONGEZEA MKATABA MOISE KEAN

PENGINE hii itakuwa habari mbaya sana kwa Manchester City na Arsenal zinazomwania kwa udi na uvumba kiungo chipukizi wa Juventus, Moise Kean.


Juventus wamehamua kumuongezea mkataba mpya kinda huyo mwenye miaka 17 ambaye msimu huu amekuwa kwenye kiwango cha juu akianza kwenye kikosi cha kwanza kwenye mechi nyingi.

No comments