KING DODOO KUWAPA ULAJI MARAPA WA DANSI


Mdau mkubwa wa muziki King Dodoo ametoa taarifa njema kwa wanamuziki wote dansi wa kitengo cha ku-rap (marapa wa bendi) kuwa kuna mpango mkakati unakuja kwaajili yao.

Dodoo (pichani juu) ameiambia Saluti5 kuwa kampuni yake ya King One Entertainment inawataka marapa wote wakae mkao wa kula kwa project kabambe inayoandaliwa na hivyo wawasiliane naye moja kwa moja kupitia namba 0629 34 84 76 ili wapewe mwongozo.

No comments