KIUNGO ADRIEN RABIOT WA PSG NJIA NYEUPEE TOTTENHAM

NJIA ni nyeupe kwa Tottenham katika mpango wao wa misimu kadhaa wa kumfukuzia kiungo wa PSG, Adrien Rabiot kwani mchezaji huyo amesema anataka kuondoka Ufaransa.


Rabiot mwenye umri wa miaka 21, amekuwa silaha muhimu ya PSG tangu alipomaliza mafunzo kwenye “academy” ya timu hiyo.

No comments