KLABU YA RB LEIPZIG YAJIPANGA KUMDHIBITI KIUNGO WAKE ANAYEITOA UDENDA LIVERPOOL

KLABU ya RB Leipzig ya Ligi Kuu Ujerumani “Bundesliga” inajipanga kukomaa baada ya kufahamu kuwa kiungo wake mahiri kutoka Guinea, Naby Keita, mwenye miaka 22, anafukuziwa na Liverpool.

No comments