KOCHA WA EVERTON ATENGA MIL 50 KWA AJILI YA WARITHI WA ROMELU LUKAKU

KOCHA Ronald Koeman, ametenga paund mil 50, ili kuwasajili washambuliaji wawili wanaotesa Villarreal, Cedric Bakambu mwenye asili ya DR Congo na Willian Jose ili kurithi nafasi ya Romelu Lukalu.


Koeman aliyefanikiwa kuirejeshea makali Everton, alikuwa akimtegemea Lukaku katika upachikaji mabao lakini sasa amekubali kumuachia aondoke zake, baada ya kuwa na matumaini ya kumpata Bukambu.

No comments