KOCHA WA JUVENTUS AIPA ARSENAL WIKI TATU “KUFUNGUKA” KUHUSU KUMTAKA AMRITHI WENGER

KOCHA wa Juventus, Massimiliano Allegri amesema ameipa Arsenal wiki tatu kuamua kama watamtaka yeye kurithi mikoba ya Arsene Wenger kuinoa klabu hiyo.    

Wenger amekuwa akishutumiwa na mashabiki wa timu hiyo kwa kushindwa kuipa mafanikio na hivyo wanataka kumuondoa klabuni hapo na asipewe tena mkataba mpya.

No comments