KOCHA WA PSG ASEMA KIPIGO CHA 6-1 KUTOKA KWA BARCA NI FEDHEHA KUBWAKOCHA wa klabu ya Paris saint-Germain ya Ufaransa ambayo imechakazwa kwa mabao 6-1 na FC Barcelona, Unai Emery, amesema kwamba ilichopata timu yake ni fedheha kubwa.

No comments