KOCHA WA TOTTEN HAM HANA MPANGO NA KURITHI MIKOBA YA KOCHA WA PSG

KOCHA wa Totten Ham Mauricio Pochettino mwenye umri wa miaka 45, hayuko katika orodha ya makocha wanaowaniwa na Paris Saint-Germain kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Unai Emery mwishoni mwa msimu huu.


Emery mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu na ishawekwa wazi kwamba hatoongezewa tena ili kuendelea kuinoa timu hiyo.

No comments