KOCHA WA WEST HAM APONDA LEICESTER CITY KUMTIMUA RANIERI... asema ni uamuzi mbaya

KLABU ya Leicester City iliamua kumfuta kazi kocha wake Claudio Ranieri mwezi Februari baada ya kushindwa kufanya kile alichokifanya msimu uliopita.

Lakini juzi kocha mwenzake wa West Ham, Slaven Bilic amesema ulikuwa uamuzi mbaya kwa klabu ya Leicester City kumfuta kazi Claudio Ranieri lakini umethibitishwa na matokeo yao.


No comments